JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi usingizi ukirudi mida ya saa 11Asbh...Wenzangu huwa mnafanyaje! Ukizingatia ndio miida ya kwenda Kazini...
 
Hahaaaa! kumbe walikuwa wanatishia kukesha wakati wana usingizi.....Angalia sasa wote wamelala.
 
99ed83f39ba2d2be7a31dbbcbd7c7168.jpg
Sorry to say, naona anafanana na chura wa ukweli maana kajifua, viji miguu, jitataak***, alafu rangi za nguo na nyumba! Chini sijui kuna vimk**o. Afu sura yake, yeuwii mbavu zangu!
 
Namshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa baraka zake nyingi anazo tupa watanzania na nchi yetu Tanzania, tunamshukuru kwa kutupa afya njema, utajiri, upendo, amani, furaha, busara, ufahamu na wingi wa hekima sisi na vizazi vyetu!
Nchi yetu Tanzania na watanzania ni Mboni ya Jicho lako ehh Mola, atakaye tubariki, sisi tutabarikiwa na yeye atabarikiwa pia! Atakaye tulaani, sisi tutabarikiwa na laana zitarudi kwake mara 80, tuna kushukuru Mwenye Enzi Mungu kwa uaminifu wako, kwa kuwa umetusamehe dhambi zetu zote tunazo zijua na tusizo zijua! Hata tukinywa sumu utatuokoa! Umetuma Roho yako itu ongoze milele yote! Katika jina la Yahushua ha Mashaich naomba na kuamini! Amen Ra
 
Back
Top Bottom