Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Jirani jana magunia ya usingizi yaliteka macho yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani uko wapi nimerudi mwenzio sikuoni tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani jana magunia ya usingizi yaliteka macho yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani uko wapi nimerudi mwenzio sikuoni tena
ahsante kwa kunimissAmkaa nimeku miss atiii
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Ukionionea Manga mwambie namtafuta jamanhayaaaaa
mida hiyoooo
Jana ulinisaliti sitaki tena [emoji9][emoji4]Jirani yangu nakuita mapema kabisa.
Ney jaman mzima mamyJana ulinisaliti sitaki tena [emoji9][emoji4]
Mzima shunie wangu vipi wewe?jana sijakuona kabisaNey jaman mzima mamy
Mzima dia jana nilitoka mapema kwenye saa mbili hiviMzima shunie wangu vipi wewe?jana sijakuona kabisa
Okey hamna neno, nimefurah kuona uwepo wako leoMzima dia jana nilitoka mapema kwenye saa mbili hivi
Asante mpenzi nimefurahi pia ukinionea Manga mwambie nilikuwa namtafutaOkey hamna neno, nimefurah kuona uwepo wako leo
Hamna neno ujumbe umeuacha mahali sahihi Manga mwalimu wangu jana alinisaidia nikapata usingiz jamani popote alipo nitamwambia wamtafuta [emoji6]Asante mpenzi nimefurahi pia ukinionea Manga mwambie nilikuwa namtafuta
Sasa wewe umeenda wapi tena jamani?hayaaaaa
mida hiyoooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huuHamna neno ujumbe umeuacha mahali sahihi Manga mwalimu wangu jana alinisaidia nikapata usingiz jamani popote alipo nitamwambia wamtafuta [emoji6]