JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

wewe ni a well spoken lady, so classy, yaan kuna time huwa una nidanganya nakupa pass kwa jinsi tu ilivo yapanga maneno

hahaha what a lovely girl!!
I agree... Huyu ana deserve sifa hizo tumemlea vizuri maelekezo ya wazazi amezingatia, na wakubwa zake tumemshape vizuri. Yaani huyo ukimpata hutajuta ni presentable an accepted popote atakapokuwa.
 
Haya unaleta lini sasa, ili tukumilikishe ukachenjue kihalali?
Kaka umsisitize maana namuona anadalili za kunilaghai kwasababu kuna sehemu nilimfuma anawaambia watu yeye hataki kuoa ataendelea kunywa juice ya malimao eti bado yupo yupo kwanza, alafu mie ananiambia atanioa sijui sio kwamba ndio mkopo usiokuwa na riba huu. Ila usimwambie kitu
 
I agree... Huyu ana deserve sifa hizo tumemlea vizuri maelekezo ya wazazi amezingatia, na wakubwa zake tumemshape vizuri. Yaani huyo ukimpata hutajuta ni presentable an accepted popote atakapokuwa.
hahaha
ila shemeji siyo ndio sasa mnipige hela nyingi
tuhurumiane jaman sku hiyo
 
Back
Top Bottom