Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Virgin wangu huyu namlea mwenyewe. Si unajua wazee wa kimasai walivyo wakali. Wamenisaidi mtoto kanitunzia virgin hadi sa ii. Bado nimalizi n'gombe tisa nipewe mtoto cheupe wangu. Mtoto tolu. Mtoto model, mtoto akitabasamu mimi moyo unalipuka, mtoto mapishi yake hakuna mfano. Yani sitaki kuongea sana kuhusu hiki kisu. JF hakuna mfano.Sasa mama kazi au faida ya virginity ni nini
germve himself