JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tunakwenda kama hivo 00:50

"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mabonge nasikia yanabonyea kama godoro tu hamna tatizo.
(Ashakum si matusi)
Ngoja nijaribu kumlalia juu ila inabidi nipeleke kiungo kimoja kimoja mpaka mwili wote maana naogopa vipepsi ...nataka nifanye kama vile unapopita kwenye majivu ya pumba ku-test kama moto umezima ili nipite...nasogeza mguu mmoja kidogo kidogo kisha miguu yote then napita kwa kujiamini
 
Back
Top Bottom