JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

I miss you my neighbor, nilijua umepumzisha kichwa maana kuna mahali nilikukuta unajisomea hata huelewi [emoji23][emoji23]
Jirani kama unavyonifahamu mgumu kuelewa mwepesi kusahau pale nilikuwa nalazimisha kuelewa hafu sielewi.
Jirani mbona taa zinawaka ndani na nje kama ndio saa mbili usiku kuna nini?
 
Back
Top Bottom