dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Miye mzima wa afya kabisaa,namshukuru Mungu za majukumu ya kulijenga taifaMie buheri wa afya, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miye mzima wa afya kabisaa,namshukuru Mungu za majukumu ya kulijenga taifaMie buheri wa afya, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
Hahahah .....tena umenikumbusha kesi ya jirani yako KK, kukupiga chabo ukiwa unaoga!Ahahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]
Kwasasa sina majukumu,nimewaachia mjenge hili taifa letu lililodumaa (uchanga gani wa miaka 50), mkimaliza mi nitakuja kupaka rangi 😉😉😉Miye mzima wa afya kabisaa,namshukuru Mungu za majukumu ya kulijenga taifa
Kwi kwi kwi mbavu zinabana jmn siku ingineTeh! Teh! Eti ulinuna,si ungewaita jirari zako waje kukupa kampani?
Hivi wako wapi siku hizi jirani zako akina Kichwa Kichafu, Nleterewa, jje's,Manga ML.............. n.k?
Mii silalagi bhanaa ila akili imezunguukwa na yasiojulikana tuMwenzangu sijui wamepatwa na nini jamani sio kwa kulala huko looh
Popo washalala tumebaki bundi......... tuwazima wa afya. Karibu ulingoniWazima popoz..
Unatuachaje........?Kwi kwi kwi mbavu zinabana jmn siku ingine
Uzi hautafutwa nikupe pole wadau tunapishana humu siku kwa sikuKawagonge milango hao jirani zako, vinginevyo napiga kampeni huu uzi ufutiliwe mbali tujue moja
Eeh..! Una raha kweli wacha sisi tulijenge taifa kama tunavo ambiwa na mkuluKwasasa sina majukumu,nimewaachia mjenge hili taifa letu lililodumaa (uchanga gani wa miaka 50), mkimaliza mi nitakuja kupaka rangi 😉😉😉
Wacha weee unaunga mkono hoja wakwanza kutia huruma utakua wewe ukifutwaAhahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah .....tena umenikumbusha kesi ya jirani yako KK, kukupiga chabo ukiwa unaoga!
Nawe upunguze majirani shoga yangu lol!
Ujenzi wenyewe sijui kama mtaweza kuukamilisha maana kila kukicha naona mnagombea fito.......Eeh..! Una raha kweli wacha sisi tulijenge taifa kama tunavo ambiwa na mkulu
Bakini kama mlivyo tu tukutane keshoUnatuachaje........?
Hatumsingizii mwenyewe anajua, ndo maana siku hizi kakata mguu huku 😉😉😉[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msi msingizie jamaa yangu nyie ha ha haaa
Hmm..!! Maneno yako si ya mchezo, una undugu na mrisho mpoto ninUjenzi wenyewe sijui kama mtaweza kuukamilisha maana kila kukicha naona mnagombea fito.......
Kesho huu uzi huukuti,ngoja niongee na mods waufutilie mbali.......Bakini kama mlivyo tu tukutane kesho