dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Sawa kamanda amani iwe kwako..!![emoji109]Leo napita tu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kamanda amani iwe kwako..!![emoji109]Leo napita tu wakuu
Sina udugu naye, ila sisi wahenga tuna ndimi za kufananaHmm..!! Maneno yako si ya mchezo, una undugu na mrisho mpoto nin
Hawata kuelewa mana nao wanautumiaga sana tu wasikufute wewe tu huku twakupenda badoKesho huu uzi huukuti,ngoja niongee na mods waufutilie mbali.......
Eeh..!! Uhenga wa kidigitali, ila sio wa ki analogiaSina udugu naye, ila sisi wahenga tuna ndimi za kufanana
Bado tunakuhitaji mkuu........Leo napita tu wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee unaunga mkono hoja wakwanza kutia huruma utakua wewe ukifutwa
Ha ha haaa umenirudisha nilisha aga mimi.Umenichekesha mpaka jirani kaja kuniuliza kulikoni lol!...........kwa chabo ni tamu? wacha siku moja nami nijaribu nione utamu wake
Shukrani kiongozi rest in peace, aah sorry.......lala salama.Nilikwepo wadau lov mingi kwenu
Nina mashaka na wewe ila nimesha aga siku ingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jirani yangu kichwa chake siunajua ni kichafu??? Asamehewe bure tuuHahahah .....tena umenikumbusha kesi ya jirani yako KK, kukupiga chabo ukiwa unaoga!
Nawe upunguze majirani shoga yangu lol!
Kwema karibuWazima popoz..
Nikijenga tabia nitakutupia wewe lawama maana wewe ndo umenitamanisha kujifunza huo mchezo........Ha ha haaa umenirudisha nilisha aga mimi.
Angalia usije jenga tabia shauli yako.
aiseee mkuu leo maji yamezidi ungaBado tunakuhitaji mkuu........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mii silalagi bhanaa ila akili imezunguukwa na yasiojulikana tu
Aisee yote sawa ila matumizi ya hilo moja hunania njema namiShukrani kiongozi rest in peace, aah sorry.......lala salama.
Jamani mnanivunja mbavu mwenzenu.........kwa hiyo uchafu wa kichwa chake ndo wa kulaumiwa sio yeye.Sasa jirani yangu kichwa chake siunajua ni kichafu??? Asamehewe bure tuu