Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha alafu unalala na gwanda zako zote kama Afande[emoji3]Ila kula sebuleni tabu kweli kweli maana unakuwa wa mwisho kulala na wakwanza kuamka. Usiombe uwe ugenini ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha alafu unalala na gwanda zako zote kama Afande[emoji3]Ila kula sebuleni tabu kweli kweli maana unakuwa wa mwisho kulala na wakwanza kuamka. Usiombe uwe ugenini ni noma
Kulala na bapa nikutesa roho kwa kweli, kwa upande wangu nisinge pata usingizi mpaka ni hakikishe imekwesha Kabisa.aaah mi nipo lakini si unajua mambo haya hapa! badae ntapotea tuu najua sitafika mbali! BAPA kalala mezani hapa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Naona hukuridhika ulivyonizimisha siku mbili kwa viroba....sasa wataka kunimalizia eeeh!Hahaha imebaki supu ya nyongo ya mamba tu lakini, nikuwekee[emoji39]
Jirani yule ni mfano wa kuigwa hajawahi nidanganya hata siku moja[emoji39]Yule Neybright kamwongopea jirani yake,ndio maana alivyoniona tu nimekuja kaondoka bila kuaga maana alijua nitamsuta [emoji12] [emoji12]
Yan unakuwa mlinzi.Hahaha alafu unalala na gwanda zako zote kama Afande[emoji3]
Usinicheke.... uswahilini tunaishi kwa tabu wenzio[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa joto hili kwa kweli watanisamehe wacha tu nivae suti asilia....Hahaha alafu unalala na gwanda zako zote kama Afande[emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabla ya kujumuika nasi,tafadhali twambie huyo mwenzio mliyekuwa naye kichwaniTulikuwa wawili kichwani ila sasa naona mwenzangu kanikimbia. Naomba nijumuike na popo wenzangu mpaka ku cheeee!
Hahahaha basi bibie ngoja nikuchemshie utumbo wa mende kwa heshima kabisa, alafu pia ni dawa ya kuondoa uchovu kwa watu wanaoshinda kwa majirani wakiosha vyombo na kupika na nani hii...[emoji40] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] Naona hukuridhika ulivyonizimisha siku mbili kwa viroba....sasa wataka kunimalizia eeeh!
Shindwa na ulegeee!
Oooh! Kwahiyo amakuwa mmoja mwaminifu wako? [emoji12] [emoji12]Jirani yule ni mfano wa kuigwa hajawahi nidanganya hata siku moja[emoji39]
Yani kiufupi namwamini jirani kwa sasa kuliko kitu chochote[emoji40] [emoji125]
Huyo jamaa anaitwa samsonic a.k.a nyagi. Kinywaji pendwa kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabla ya kujumuika nasi,tafadhali twambie huyo mwenzio mliyekuwa naye kichwani
Hahaha we sikuwezi kwa kweli, tafuta juisi ya machozi ya simba uondoe hiyo hangover, dirty head anataka kuleta balaa sasa.Kwa joto hili kwa kweli watanisamehe wacha tu nivae suti asilia....
Hahaha hakika jirani ni msema kweli aliyetukuka, aliyokua anayasema yote sasa nayaona[emoji39] [emoji6]Oooh! Kwahiyo amakuwa mmoja mwaminifu wako? [emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa [emoji85] [emoji85]Hahahaha basi bibie ngoja nikuchemshie utumbo wa mende kwa heshima kabisa, alafu pia ni dawa ya kuondoa uchovu kwa watu wanaoshinda kwa majirani wakiosha vyombo na kupika na nani hii...[emoji40] [emoji125]
Vp nimkamate nimrudishe kwako? Maana naona yuko hapa jirani kabisa na mimi na hajielewielewi [emoji1] [emoji1]Huyo jamaa anaitwa samsonic a.k.a nyagi. Kinywaji pendwa kabisa
Machozi ya simba yupi? Huyuhuyu aliyeponea chupuchupu kupakatwa na wanamtibwa au mwingine?[emoji12] [emoji12]Hahaha we sikuwezi kwa kweli, tafuta juisi ya machozi ya simba uondoe hiyo hangover, dirty head anataka kuleta balaa sasa.
Na wewe upunguze kumendea offer[emoji40] [emoji6]
Wkend imeishia mkuu. Majukum yanaanza muda si mrefuVp nimkamate nimrudishe kwako? Maana naona yuko hapa jirani kabisa na mimi na hajielewielewi [emoji1] [emoji1]
[emoji15] [emoji15] Kwa hiyo imepitishwa rasmi kuwa Neybright ni mmoja mwaminifu wako?Hahaha hakika jirani ni msema kweli aliyetukuka, aliyokua anayasema yote sasa nayaona[emoji39] [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13][emoji1] [emoji1] Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa [emoji85] [emoji85]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Haya bwana ngoja nimwache aende zake.....Wkend imeishia mkuu. Majukum yanaanza muda si mrefu