JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yule Neybright kamwongopea jirani yake,ndio maana alivyoniona tu nimekuja kaondoka bila kuaga maana alijua nitamsuta [emoji12] [emoji12]
Jirani yule ni mfano wa kuigwa hajawahi nidanganya hata siku moja[emoji39]
Yani kiufupi namwamini jirani kwa sasa kuliko kitu chochote[emoji40] [emoji125]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Naona hukuridhika ulivyonizimisha siku mbili kwa viroba....sasa wataka kunimalizia eeeh!
Shindwa na ulegeee!
Hahahaha basi bibie ngoja nikuchemshie utumbo wa mende kwa heshima kabisa, alafu pia ni dawa ya kuondoa uchovu kwa watu wanaoshinda kwa majirani wakiosha vyombo na kupika na nani hii...[emoji40] [emoji125]
 
[emoji1] [emoji1] Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa [emoji85] [emoji85]
 
[emoji1] [emoji1] Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Eti X nyekundu,
Hiyo haina hata tone la mafuta, tena ikichanganywa na mwarobaini na pilipili kichaa unasahau kuhusu kitambi[emoji40]
Ila ujue kitambi flani kina mvuto wake wake bhana uwanjani, hasa kinapokua kinatikisika wakati wa kukimbilia mpira[emoji39] [emoji85] [emoji125]
 
Back
Top Bottom