The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Bado sana hii kazi hua haistaafishi bali ujuzi unaongezeka tu
Inafika kipindi wanakuita Legend..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sana hii kazi hua haistaafishi bali ujuzi unaongezeka tu
Hem nisikie alichochea niniHakusingiziwa alifanya uchochezi mkubwa tu
Ohooh, na akikupitia usiposema hadharani, ndo linazidi kunogewa kuja kila siku, hilo janga lisikie kwa wenzako tu aisee.[emoji40][emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ndo kiboko yao eeh!
Ila mimi sikuwahi kuamini hizo porojo za popobawa
Hewaaa ndivyo ilivyo hivyoInafika kipindi wanakuita Legend..
Safi kabisa mkuu, fursa hiyo imekuja yenyewe kazi kwako.Bado sana hii kazi hua haistaafishi bali ujuzi unaongezeka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwa kipindi kile...kwa sasa si unakuja tu hapa jamvini unasimulia ilivyokuwa ili kuepusha shari..[emoji85] [emoji85]Ohooh, na akikupitia usiposema hadharani, ndo linazidi kunogewa kuja kila siku, hilo janga lisikie kwa wenzako tu aisee.[emoji40]
Ohooh, na akikupitia usiposema hadharani, ndo linazidi kunogewa kuja kila siku, hilo janga lisikie kwa wenzako tu aisee.[emoji40]
Alichochea kuni mbichi...[emoji12] [emoji12]Hem nisikie alichochea nini
Bado haija nifika na sitaki niivute fulsa haziachwiSafi kabisa mkuu, fursa hiyo imekuja yenyewe kazi kwako.
Nb:- Bakora muhimu sana[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwa kipindi kile...kwa sasa si unakuja tu hapa jamvini unasimulia ilivyokuwa ili kuepusha shari..[emoji85] [emoji85]
Unamuogopa KK huyu hajahusikaAlichochea kuni mbichi...[emoji12] [emoji12]
Hahaha yale yapo available mda wote, na ukiyataja taja yanakua reachable, pona yako Leo usisinzie tu[emoji40] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwa kipindi kile...kwa sasa si unakuja tu hapa jamvini unasimulia ilivyokuwa ili kuepusha shari..[emoji85] [emoji85]
Bado haija nifika na sitaki niivute fulsa haziachwi
Hahaha lala tu mkuu, ila usifumbe machoMh! Basi silali, na hivi nipo Unguja?
Pamoja mpaka hapa kutabaki wa chache sanaSaa nane hiyooo kwa sie watiifu inabidi tujipumzishe. Vinginevyo itakua usiku wa matisa. Niwatakie mazungumzo mema.
[emoji3] [emoji3]Hahahaaa tatizo lile dubwana haliendani kabisaaa na mambo ya dijitali. Linapenda mambo ya kiswahili, lazima ufanye public press. Binadamu wabaya sana
Hahaha lala tu mkuu, ila usifumbe macho
Nalisubili mana nimepewa hicho cheo nikiwa sipo na cheo hichi kina fulasa pendwa siwezi kukiacha.Wewe si ndio DPP, mkufunzi mwalimu ticha? File linakuja subiri