Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa wapi funguo?00:11
Kwahiyo nisihamie mtaa wa kumi? Hahahah! bila shaka hawa ni paka wako sio bureHahahaha palipo na Bundi hapakosi paka, na Hawa viumbe hutegemeana kwa asilimia kubwa[emoji40]
Vumilia tu hao ndo jirani zako wa kwenye viroba na balimi[emoji125]
Umesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.Umetoa wapi funguo?
Ndo maana nikikumbuka zamani huwa nalia [emoji22] [emoji22] ama kweli ya kale ni dhahabu.Mze wa busara...akilia nyauuu!!!! Zamani kulikua na mziki.
Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo [emoji12] [emoji12]0445 Aliyempa funguo yule mgeni nani! hili geti leo litafungwaje sasa ameshasepa nayo leo watu wataingia mpaka asbh humu watatuharibiaaaaa.
Funguo nilimkabidhi Jaby'z katokomea nazo[emoji23] [emoji23]Umesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.
Wacha nirudi kulala tena[emoji23] [emoji23]
Usiku mwema wasalimie wote.
Hahahaha wamekua wangu tena..Kwahiyo nisihamie mtaa wa kumi? Hahahah! bila shaka hawa ni paka wako sio bure
Kuna kitu natamani kuuliza hapa, ila bahati yako umekimbia[emoji40]Umesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.
Wacha nirudi kulala tena[emoji23] [emoji23]
Usiku mwema wasalimie wote.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Si alitangazia umma kuwa amehamia mtaa wa 7,ina maana alitudanganya? [emoji23] [emoji23]Hahahaha wamekua wangu tena..
Wala usijihangaishe kuhama Mwinshehe mwenyewe hakuwahi kuhama[emoji3] [emoji125]
Hahaha Ndio nabisha hodi nyumbani kwako tangu jana mpaka saivi sijafunguliwa geti[emoji12] [emoji6]Ndo maana nikikumbuka zamani huwa nalia [emoji22] [emoji22] ama kweli ya kale ni dhahabu.
Nleterewa Nganengo unabisha?
Msubiri jje's utamwuliza kwa niaba....maana wamepeana shift mmoja akija huku mwingine anabaki na nyumba [emoji1] [emoji1]Kuna kitu natamani kuuliza hapa, ila bahati yako umekimbia[emoji40]
tupoo.!!Popooooozz. Mpo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo [emoji12] [emoji12]