Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
POPOOOOOOOZZZ!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Ndo tatizo la kuongea kiswahili na mswahili....nilimaanisha unabisha msemo wa wahenga kuwa "ya kale ni dhahabu"Hahaha Ndio nabisha hodi nyumbani kwako tangu jana mpaka saivi sijafunguliwa geti[emoji12] [emoji6]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wewe hutu tumiguu twako uwe unatusafisha bhana, tuna vumbi kama nini, kila tukipita hapa chafya haziniishi[emoji40] [emoji12] [emoji23]
Hivi unamwaminije mtu mwenye Kichwa Kichafu? Alidhani anasema na jje's [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ina maana hizo zilizochukuliwa pembeniyo mlipokuwa mmelalamo sizo? (Hili wala sio swali)[emoji40] [emoji125]
Hahaha kipindi hicho kulikua hakuna mitaa, kulikuwa na vijiji vya ujamaa tu, na tulikua haturuhusiwi kuhama[emoji40] [emoji12] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] Si alitangazia umma kuwa amehamia mtaa wa 7,ina maana alitudanganya? [emoji23] [emoji23]
Hahaha hapa sitii neno, akiona hapa atajibu tu[emoji40]Msubiri jje's utamwuliza kwa niaba....maana wamepeana shift mmoja akija huku mwingine anabaki na nyumba [emoji1] [emoji1]
Naona umeanza 'furahi day' kwa furaha [emoji4] [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo maana nikikumbuka zamani huwa nalia [emoji22] [emoji22] ama kweli ya kale ni dhahabu.
Nleterewa Nganengo unabisha?
Hahaha na mimi nilimaanisha "nitabisha hodi hapa getini kwako mpaka lini ili nifunguliwe"[emoji15] [emoji15] [emoji15] Ndo tatizo la kuongea kiswahili na mswahili....nilimaanisha unabisha msemo wa wahenga kuwa "ya kale ni dhahabu"
Hahaha na mimi nilimaanisha "nitabisha hodi hapa getini kwako mpaka lini ili nifunguliwe"
Niuzie debe 2 za usingizi best,maana jana Samaritan alinidanganya eti ananiunga kifurushi cha usingizi cha mwezi mzima, kumbe kilikuwa cha masaa 3 tu [emoji18] [emoji18]Naona hamjambo jambo. Mie leo sijiwezi nina usingizi debe kibao nikiuuza natajiri
Mm nipo mkuu
Agash wa series, hapa itakua ushatukimbia tayari, hebu Leo ubaki utupe kaubaridi kidogo tafadhali humu ndani joto sana[emoji39][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji125]Hivi unamwaminije mtu mwenye Kichwa Kichafu? Alidhani anasema na jje's [emoji12] [emoji12]
Mpaka Jaby'z atakapoleta funguo! [emoji12] [emoji12] [emoji12] umenikumbusha Masanja na wimbo wake wa Nuhu tufungulieHahaha na mimi nilimaanisha "nitabisha hodi hapa getini kwako mpaka lini ili nifunguliwe"