JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] tayari nini?
Hivi unajua lakini kama huyo hunter na baby wako ni majirani walioshibana sana? Yaani wale ambao iliimbwa kuwa ni kitu kimoja haina haja kunyimana!
(Najisemea tu, mimi nae huu mdomo utaniponza)[emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Tayari kashakuchukua

ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan rafiki yangu umenishinda tabia, sio kwa umbea huo. Ila baby wangu ananiamini kama mimi ninavyomuamini sidhani kama atafikiria vibaya.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Tayari kashakuchukua

ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
Mmmh! Kweli umenishushua na umbea wangu....mi ilitaka niwagombanishe....[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah we nawe bwana!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Tayari kashakuchukua

ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
Mkuu mbona hujatualika hii ndoa au mimi ndo sijaalikwa?

Nimeona tu paaaap ni ma beby tutambulishane basiii
 
Back
Top Bottom