Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Bwana weee... Yani nisipopita hapa huwa sipati amani. Nafurahiaga kuwaona wapendwa wanguAfadhali umekuja nilitaka kushangaa usiwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana weee... Yani nisipopita hapa huwa sipati amani. Nafurahiaga kuwaona wapendwa wanguAfadhali umekuja nilitaka kushangaa usiwepo
Afadhali mana usipokwepo jukwaa linaweza lala ..kina kichwa kichafu na Ney sijui ndo wamepotelea wapBwana weee... Yani nisipopita hapa huwa sipati amani. Nafurahiaga kuwaona wapendwa wangu
Aisee! Itabidi nimlete Nleterewa Nganengo umfunze hayo majukumu mazito ya usiku [emoji12] [emoji12]Aisee,pole mim jana nililala saa4 usiku maana nilikua na majukumu mazito mno, ila nashukuru nimeyatekeleza vilivyo
Naona umerudi kasi ya4G
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao majirani baada ya kupigana chabo kwa muda mrefu, mwishowe wameamua kutekana kabisa.Afadhali mana usipokwepo jukwaa linaweza lala ..kina kichwa kichafu na Ney sijui ndo wamepotelea wap
Hahaa aisee kweli watakua wametekana[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao majirani baada ya kupigana chabo kwa muda mrefu, mwishowe wameamua kutekana kabisa.
Bila shaka ndo maana jje's naye kawa adimu hapa....atakuwa anauguza moyo wake ulojeruhiwa na hao majirani [emoji126] [emoji126]
Karibu sana kiongozi....Duh kumbe huwa nakosa vitu vituuu adimu aisee ngikundi nginengo
Dada lala!1:38a.m
Kama upo dar utafaidi kweli nakamvua haka.Nabembeleza Demu hapa nikalale nae Maana kuna Baridi ya Hatari leo halafu hataki kunielewa
Na mim[emoji4]Na nan sasa?
Ndo umeamka nn? Ulipotea gaflaNa mim[emoji4]
Hapana, simu iliisha chaji usiku uleNdo umeamka nn? Ulipotea gafla
Umeamkaje miss inna..!!Ndo umeamka nn? Ulipotea gafla
Me namshukuru Mungu nko vzr.hofu kwakoUmeamkaje miss inna..!!
Naaam.!!! Nami niko poa Mungu mwema nimeamka salama salmini naona blue monday hiyooMe namshukuru Mungu nko vzr.hofu kwako
dingimtotoNaaam.!!! Nami niko poa Mungu mwema nimeamka salama salmini naona blue monday hiyoo