JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bwana weee... Yani nisipopita hapa huwa sipati amani. Nafurahiaga kuwaona wapendwa wangu
Afadhali mana usipokwepo jukwaa linaweza lala ..kina kichwa kichafu na Ney sijui ndo wamepotelea wap
 
Aisee,pole mim jana nililala saa4 usiku maana nilikua na majukumu mazito mno, ila nashukuru nimeyatekeleza vilivyo

Naona umerudi kasi ya4G
Aisee! Itabidi nimlete Nleterewa Nganengo umfunze hayo majukumu mazito ya usiku [emoji12] [emoji12]
 
Afadhali mana usipokwepo jukwaa linaweza lala ..kina kichwa kichafu na Ney sijui ndo wamepotelea wap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao majirani baada ya kupigana chabo kwa muda mrefu, mwishowe wameamua kutekana kabisa.
Bila shaka ndo maana jje's naye kawa adimu hapa....atakuwa anauguza moyo wake ulojeruhiwa na hao majirani [emoji126] [emoji126]
 
Hahaa aisee kweli watakua wametekana
 
Nabembeleza Demu hapa nikalale nae Maana kuna Baridi ya Hatari leo halafu hataki kunielewa
 
Back
Top Bottom