JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unakimbia kivuli chako hapa.....Wifi yangu mlokole hajambo? [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yupi tena huyo, nimeamini we mchana huoni vizuri[emoji57] [emoji41]
 
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...

Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Neybright na Kichwa Kichafu wametekana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Manta ML na Maserati wanaogopa baridi [emoji18] [emoji18] [emoji18]

No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom