JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ngoja nijibu kwa ujumla mapopooooZ wenzangu wengi mnataka kujua nilikuwa wapi,mimi ni mkulima wa kudumu ndani ya nchi hii kwa hiyo hizi mvua nilizitega zikakubali kwa hiyo zilipoanza tu nikajikuta nimehama mji na kutorokea huko mashambani ambapo network nilikuwa naipata kwa shida sana vilevile na kazi za shamba ndio zilinificha! poleni kwa kunimiss kwa kweli hata mimi niliwamiss sana nimekuja huku mjini kwa muda ili nipate kujumuika pamoja.Ahsanteni mkesha ndio huo umeanza tulisongesheee popooooooZ
Walima nini mkuu? Tushirikishane kama tunavyoshirikishana kukesha hapa
 
Back
Top Bottom