Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Aisee,ngoja nije tulazane maana naona nawe umekugomea mkuuSogea huku nikulaze mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,ngoja nije tulazane maana naona nawe umekugomea mkuuSogea huku nikulaze mkuu
Huku huwa hatunywi gahawa, sisi tunakunya supu ya Nungunungu na maini ya kenge, na pia inapendezaga sana tukipata nyongo ya mamba kwa ajili ya kuleta ladha. KaribuMmekunywa kahawa?????
WakolaNyegera waitu JF
Huyo ndo mwalimu wangu komredi, namwamini sana kwenye hiyo tasnia tu,[emoji125]hivi nae alipitia hizi shughuli au unamsingizia,asije akatafsiri mengine hapa
Walima nini mkuu? Tushirikishane kama tunavyoshirikishana kukesha hapaNgoja nijibu kwa ujumla mapopooooZ wenzangu wengi mnataka kujua nilikuwa wapi,mimi ni mkulima wa kudumu ndani ya nchi hii kwa hiyo hizi mvua nilizitega zikakubali kwa hiyo zilipoanza tu nikajikuta nimehama mji na kutorokea huko mashambani ambapo network nilikuwa naipata kwa shida sana vilevile na kazi za shamba ndio zilinificha! poleni kwa kunimiss kwa kweli hata mimi niliwamiss sana nimekuja huku mjini kwa muda ili nipate kujumuika pamoja.Ahsanteni mkesha ndio huo umeanza tulisongesheee popooooooZ
Aisee, ngoja nione kama unafata unayosemaKaribu kwenye ulimwengu wa new testament.....ukipigwa kofi kushoto geuza na upande wa kulia upigwe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee yule,Mungu amjalie maisha marefu zaidiusije kujaribu hii ndugu yangu ilikuwa enzi ya Rais mwinyi.
Karibu popo mwenye kilinge chake, a.k.a popo mwenye spea ya ufunguo wa getiPopooozz, natumai mko njema, napita tu kuwajulia hali
Naomba mbegu mkuumihogo tuu,nategemea kuvuna mwakani.
Sijakuelewa.....ina maana hapo ndio umenipiga kofi au?Aisee, ngoja nione kama unafata unayosema
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Aisee, ngoja na mimi nikufuate nikinyata huenda nikafaidi hata chabo [emoji85] [emoji125]Aisee,ngoja nije tulazane maana naona nawe umekugomea mkuu
Nakuona[emoji6]Wakola
Hahaaa kwani wewe ni mwalimu wa zamu au kiongozi wa zamu?Naitisha Roll call.... Kuna ambao wametoroka, aya anza kushika namba sasa hivi.