JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.
Jirani kipenz cha moyo nakusalimia
 
Woyooooo, mara paaap hiiiiiiiii
Popoozz natumai mko poa, kama kawaida yangu nimepita kuwasalimia.
Wapi mama Chacha Maserati[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom