Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Jirani kipenz cha moyo nakusalimiaMie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.