JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nipo tayar niulize mkuu
Umesema kwamba umekulia kwenye familia ya kichawi je wewe ni mchawi pia.?
Na kama ni mchawi, maana ake uko tayari kutimiza malengo ya kichawi ambayo ni tofauti na ubinadamu au kuumcha Mungu; je umeacha na kujuta mpaka unatupa tahadhari hii.?
Na kama umeacha umekuwa muumini wa nani katika nguzo kuu za imani yaani imani yako imeegemea kwa Yesu au kwa Muhamad au kwa person's natural powers as Mshana jr n Pascal Mayalla call them Psychic powers, the powers within a person determine your destiny.?
Hapo nimeanzia tu, tutaendelea........
 
Siku hizi mabundi sijui wanajifichia wapi maana hawaonekani humu!
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Na kazi haufanyi kesho? ni midanga mpaka jogoo wa asubuhi apate kuwika?
 
Back
Top Bottom