Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayar niulize mkuuNina maswali mawili matatu ya kukuuliza Beira baby boy. Upo tayari.?
Mida yetu badoWazee wa mikesha
Ngoja uefa iisheMida yetu bado
Mkuu wewe endelea kukandamiza mabalimiBalimi Tam Sana Ndugu Yangu
Tafuta mkuu usome mambo siyo mambo ujuengoja nitafute biblia yangu nianze kusoma
Umesema kwamba umekulia kwenye familia ya kichawi je wewe ni mchawi pia.?Nipo tayar niulize mkuu
Na kazi haufanyi kesho? ni midanga mpaka jogoo wa asubuhi apate kuwika?Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!