Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Nimeilia hukuhuku uswahilini kwetu!Nchi umelia wapi mkuu
Si unajua sie waswahili hatunaga makuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeilia hukuhuku uswahilini kwetu!Nchi umelia wapi mkuu
Ndio tupo macho.Ama kweli Jf nikipenzi cha wengi Tulioko macho mda huu Tujuane,Tupo macho mida ya Wanga
Kweli kabisa,ila nadhani hii ndo weekend yangu bora ya mwisho kwa mwaka huu [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ni weekends chache kuelekea mwisho wa mwaka. If you don't enjoy them wadhani lini tena utazifurahia kabla ya mwaka huu kuisha.?
Kwa kweli. Nchi inaliwa sehemu yoyote mkuu cha muhimu ni kupata utulivu wa mwili na akiliNimeilia hukuhuku uswahilini kwetu!
Si unajua sie waswahili hatunaga makuu
Siku njema haziishi. Huenda hiyo isiwe boraKweli kabisa,ila nadhani hii ndo weekend yangu bora ya mwisho kwa mwaka huu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hakika mchagua jembe si mkulima,leo nafsi yangu imefurahika vya kutoshaKwa kweli. Nchi inaliwa sehemu yoyote mkuu cha muhimu ni kupata utulivu wa mwili na akili
Maisha yangu nayajua mwenyewe....Siku njema haziishi. Huenda hiyo isiwe bora
Aah kumbe mwisho wa mwaka huu, sikukuelewa hapo mwanzo. Poa mkuu enjoy the best of itKweli kabisa,ila nadhani hii ndo weekend yangu bora ya mwisho kwa mwaka huu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kine?Ndio tupo macho.
Kwa kweli ni vizuri. Inabidi tule nchi bila kusahau malengo yetu nyumaMaisha yangu nayajua mwenyewe....
Hii ya leo inatosha,mengine yatafanyika mwakani kunako majaaliwa ya Mwenyezi Mungu
Umeona eeeh! Ukizingatia kuwa mwezi Januari huwa ni mwezi mgumu sana kwa sisi walala hoiKwa kweli ni vizuri. Inabidi tule nchi bila kusahau malengo yetu nyuma
Ni mwezi wa majukumu kwa kweliUmeona eeeh! Ukizingatia kuwa mwezi Januari huwa ni mwezi mgumu sana kwa sisi walala hoi
Na hiki chuma cha mjerumani ni nomaaaaUmeona eeeh! Ukizingatia kuwa mwezi Januari huwa ni mwezi mgumu sana kwa sisi walala hoi
Japo sio kila kikao cha kwenye starehe huondoa stress....sometimes ni kujiongezea stress tuSometimes watu wanashinda maeneo ya starehe kwaajili ya kuondoa stresses aakhh!!!!
Ni tabu tupuNa hiki chuma cha mjerumani ni nomaaaa
Ni mwezi wa majukumu kwa kweli
Usajili wa mwaka huu sijui utakuwaje huko moshiNi tabu tupu