Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ukizipata unigawie kidoMuda wa mazoezi huu 21 km nizitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizipata unigawie kidoMuda wa mazoezi huu 21 km nizitafute
Kumbeee ndo vinini hvyooo??Huyo Instagram ni ndugu yae na Kilogram?
Eti Inna geti limefungwa?Haka kamtindo ka kuongea nje ya geti kanakuwa kwa kasi ya 4g.
Sawa utanipa gunia moja tu mm[emoji85]usijali tupo pamoja,kilimo kimenificha best ntakualika kwenye mavuno.
Hata mimi sijuiKumbeee ndo vinini hvyooo??
BadoooEti Inna geti limefungwa?
EwaaaaBadooo
Niambie kwanza ni zao gani?Unakula unaenda kuuza?
Njoo tupige tizi mkuuUkizipata unigawie kido
Hiyo ntakaanga ile mida ya jion kijiwen kwangu niiuzeMihogo au unafuturisha?
[emoji1]wewe noma zaid ya dk shikaRafik angu instargrm ata sipajui
Hahaa umeamka...karibu[emoji1]wewe noma zaid ya dk shika
Ujue nilikua nakusoma kimya kimya kama ww siku zileIshu sio saa moja wewe saa7chalii huonekani
Me nipo machonilikua nawa cheki tu!! kimya kimyaHahaa umeamka...karibu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2]Ya biashara nauza,ila ya kula nyumbani ntakupa bure! haitazidi sufuria