Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Whispering loud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nina kawaida moja, huwezi kunitofautisha nikiwa na hela ama nisipokuwa nazo.Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli😂🤣.
Kuhusu mabenki, sisis ndo tuna zidi kuwa tajirisha(hili ni SoMo la siku nyingine).
Umetisha Mkuu, ukifanya hivi nyimbo mbili tatu nami nitajuwa Kilingala 👏👏🤗12:05 Soki y'okoboma nga, boma n'o nga lelo chérie
Mais cimetière na nga ezala sé motema n'o
Niokola nayo nga, na love na ndima traite de noirs
Pesa nga bolingo ata oy'a science-fiction
Po yanga motema esi epona yo chérie eh, eh, eeeh
Na craqua yo bébé eh, eh, eeeh
Tafsiri
Ukitaka kuniua, niue leo mpenzi
Lakini makaburi yangu yanapaswa kuwa moyo wako tu
Niokola na wewe, napenda na kukubali biashara nyeusi
Nipe upendo hata kama ni hadithi za kisayansi
Maana moyo wangu umeshakuchagua wewe mpenzi eh, ee, eeeh
Nimekupasuka mtoto eh, ee, eeeh
Cc: Grahams
Sema soggy doggy Ali Tisha humu, na hio verse lazima ucheke🤓🤣Mkiweka mashairi ya nyimbo zenu za Kilingala, jaribuni kuweka na tafsiri yake walau na sisi wazee tulioshia darasa la pili tuweze kuelewa 😅
Alikuja Mwarabu mwenye ndevu kama za Osama...
Aliongea Kiarabu katikati ya maongezi si akataja Dodoma.....wakati anaendelea akamtaja Spika wa Bunge...maswali nikajiuliza miye anataka kulipua Bunge...
Kibanda cha Simu
11:55PM
mzee hapa Kati Nina mambo mengi, Sema Niki kaa sawa Nita eleza Hawa wakubwa Wana kwepa vipi huo mtego.Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.
Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki