JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli😂🤣.

Kuhusu mabenki, sisis ndo tuna zidi kuwa tajirisha(hili ni SoMo la siku nyingine).
Binafsi nina kawaida moja, huwezi kunitofautisha nikiwa na hela ama nisipokuwa nazo.

Naweza kuwa na hela ya kuweza Kula Holiday Inn hotel lakini nikaenda kula Shishi food 😜

Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.

Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki
 
Mkiweka mashairi ya nyimbo zenu za Kilingala, jaribuni kuweka na tafsiri yake walau na sisi wazee tulioshia darasa la pili tuweze kuelewa 😅

Alikuja Mwarabu mwenye ndevu kama za Osama...
Aliongea Kiarabu katikati ya maongezi si akataja Dodoma.....wakati anaendelea akamtaja Spika wa Bunge...maswali nikajiuliza miye anataka kulipua Bunge...

Kibanda cha Simu

11:55PM
 
12:05 Soki y'okoboma nga, boma n'o nga lelo chérie
Mais cimetière na nga ezala sé motema n'o
Niokola nayo nga, na love na ndima traite de noirs
Pesa nga bolingo ata oy'a science-fiction
Po yanga motema esi epona yo chérie eh, eh, eeeh
Na craqua yo bébé eh, eh, eeeh

Tafsiri
Ukitaka kuniua, niue leo mpenzi
Lakini makaburi yangu yanapaswa kuwa moyo wako tu
Niokola na wewe, napenda na kukubali biashara nyeusi
Nipe upendo hata kama ni hadithi za kisayansi
Maana moyo wangu umeshakuchagua wewe mpenzi eh, ee, eeeh
Nimekupasuka mtoto eh, ee, eeeh
Cc: Grahams
 
Umetisha Mkuu, ukifanya hivi nyimbo mbili tatu nami nitajuwa Kilingala 👏👏🤗
 
12:13 AM Po nga na boma nzoto na nga (na lela mama, ah)
Pona yo na bela estomac, eeh (bolingo ebomi nga)
Tika ngayi lokola olembi ngayi (yé-yé-yé, yé-yé-yé)
Na zonga epa ba parents na nga (na lela mama, ah)
Ba famille bazongisa mbongo ya libala n'o
Bolingo'a matata boyé pardon na boyi

Tafsiri
Kwa sababu nilijiua (nililia mama, ah)
Kwako naumwa na tumbo, eeh (mapenzi yananiua)
Niache kwani umenichoka (ndio-ndio-ndio, ndio-ndio-ndio)
Nilirudi kwa wazazi wangu (nililia mama, ah)
Familia zirudishe pesa zako za harusi
Mapenzi yana utata samahani nakataa
Cc Grahams
 
Mkiweka mashairi ya nyimbo zenu za Kilingala, jaribuni kuweka na tafsiri yake walau na sisi wazee tulioshia darasa la pili tuweze kuelewa 😅

Alikuja Mwarabu mwenye ndevu kama za Osama...
Aliongea Kiarabu katikati ya maongezi si akataja Dodoma.....wakati anaendelea akamtaja Spika wa Bunge...maswali nikajiuliza miye anataka kulipua Bunge...

Kibanda cha Simu

11:55PM
Sema soggy doggy Ali Tisha humu, na hio verse lazima ucheke🤓🤣
 
Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.

Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki
mzee hapa Kati Nina mambo mengi, Sema Niki kaa sawa Nita eleza Hawa wakubwa Wana kwepa vipi huo mtego.

Kuna waandishi ka wawili, wame chambuaa vyema mno.
Wote wali wahi kuwa wakurugenzi wa benki kubwa duniani
 
Back
Top Bottom