Niite kamanda wa lindo, toka niingie lindoni magodoro huwa tuna yachoma moto kabisa.
Maana uki loweka maji, Kuna vijana walio shindikana Kama kina
Mad Max na
Uchira 1 wata sinzia tu.
Kutana na
Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate
To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
Kuna hiki kimanta
financial services mdada Mali Safi kabisa, ila shida ana koroma Kama chura 😂.
Kuna haka ka shangazi uchwara
Fake P, kana jikuta kagumu, kumbe pisi kali laini🤣.
Kuna wezi wenzangu kina miyeyusho
stow away, chambo wa chama Cha wezi
Analyse, mpiga chabo
Poor Brain,
Kuna Hawa absentees wa kimataifa kina
fyddell,
MastaKiraka,
Bila kumsahau
nusu albinoo Half american, and everyone else.
I mean no Malice to nobody