JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Anafanya akiwa usingizini, namweka Sawa baada ya dk 3 anarudia. Yaani lazima ahisi kuna kitu kipo hivyo kukitafuta kwa miguu, akikushika na mkono anatekenya yaani kama anakukuna softly
Dah..
Mwanzo nikajua mtoto wa kuzaa, kumbe demu!
Sasa broo, wasubiri nini kupeleka 🔥?!
Angalia usituangushe hukoo
 
Ukitaka kudumisha ndoa muda Ni huu. Amka nenda bathroom kujifresh, ikipidi pigeni mswaki Kama hukupiga kabla ya kulala, anza kumpapasa huyo mama kuanzia kwenye unyayo Hadi nyuma ya sikio. Mkule mate ya kutosha, ukiona amelainika vizuri, nenda kazi ukianzia mjiulioko Bukoba Ni vizuri zaidi.
This is the time yaani hii saa kumi usiku.
Hii ndio dawa pekee ya kujiepusha na tamaa huko nje, mipango ya kando na michepuko.
Lakini pia ukifanya hivi kukicha tegemea chakula kizuuri hasa kile unachopenda.
Try it and thank me later
 
Back
Top Bottom