antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Dah..Anafanya akiwa usingizini, namweka Sawa baada ya dk 3 anarudia. Yaani lazima ahisi kuna kitu kipo hivyo kukitafuta kwa miguu, akikushika na mkono anatekenya yaani kama anakukuna softly
Mwanzo nikajua mtoto wa kuzaa, kumbe demu!
Sasa broo, wasubiri nini kupeleka 🔥?!
Angalia usituangushe hukoo