Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Sikiliza tu music kama navyosikiliza mie ila qmmaq hapana aisee acha kesho nikachome tu maini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida nini kakaSikiliza tu music kama navyosikiliza mie ila qmmaq hapana aisee acha kesho nikachome tu maini
Game gumu tu familia ziko mbali tunazipambania ila heshima hakunaShida nini kaka
03:0101:56
Usingizi umekata nipo alone whisky nayo nehiii maclub mbali duuhhh nagaragaratuuu KATAAA NDOA
Pole mida hii usinywe pombe mkuu kula kukumoshi nafsi itatuliaUsingizi umekata nipo alone whisky nayo nehiii maclub mbali duuhhh nagaragaratuuu KATAAA NDOA
Sonona huwa inaanzaga hivi mkuu😅😅Life ni ubatili ngoja masaa matatu haya yaishe kukuche nikalewe tu , hakuna cha thamani hapa dunian aloo