JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Screenshot_20240827-084613_Reddit.jpg
 
Acha kabisa mpka nimejikuta nampiga mzinga demwangu wa Uk anitume kbunda kwa Mpesa ,nakutana na jibu la kua hawezi mpka nimtumie account yenye sortcode na nilikua sijui lolote ila bwana gugo kanisaidia nimeelewa na muamala umesoma baadae nikashinde kaunta tu
Usingizi umekata nipo alone whisky nayo nehiii maclub mbali duuhhh nagaragaratuuu KATAAA NDOA
 
Back
Top Bottom