Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Much love bantu, Jana nime muona dahan pia.Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.π π π π π π
hahaha eti Wana raha gani, usi nikumbushe nime lala sana saa 2,3,4 kisa dawa nilizo kuwa natumia π