JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

IMG_20250310_194620_010.jpg
 
Ohhh, hapo no excuses, hata kama ni wewe ungelala tu.
Pole lakini! Ni kipengele kigumu sana katika maisha, ni nusu na kutokuwa nae! Ila heri tisa yako kuliko kumi usiyo kuwa nayo.
Yes, kabisa uko sahihi heri tisa niyajuayo!
Nimeshazoea mbona na niko happy kabisa, si unajua kila sehemu kuna wasaidizi 😃?
 
Mhh! Yaani mi niwe na mtu halafu niwe bize na vingine, labda kwa vile kuna kuchokana
Mshafanya kila kitu na kila mtu kageukia hukoooooo.
Mwenzio kaangusha gari wewe bado mbichi na ukimshika mkali, kwanini usikeshe macho kuchepuka angalau kwa njia ya simu?
Na wengine hudiriki kunyata kwenye vyumba vya wasaidizi wao wa ndani....(hii tamu sana ila omba usikutwe)
 
Una vurugu, sredi ya Mtwara ushaachana nayo.. Ngoja nishuke Mtwara Jumatatu next week
Dah! Mtwara jamani.
Kipindi hiko tulikuwa masister du haswa.
Kichwani zipo, wazazi wanazo, huku tunaenda na baiskeli za gia shule 😀😀😀
Mwisho kabisa tunakaa nyumba za kota....🤗🤗🤗
Utatuambia nini
 
Dah! Mtwara jamani.
Kipindi hiko tulikuwa masister du haswa.
Kichwani zipo, wazazi wanazo, huku tunaenda na baiskeli za gia shule 😀😀😀
Mwisho kabisa tunakaa nyumba za kota....🤗🤗🤗
Utatuambia nini
Madam unakesha ukiwa wapi?

Huku green city baridi linaninyima usingizi.
 
Back
Top Bottom