JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
 

Kuna Mishoga mingi sana humu na wanaume wanaojiita majina ya kike.
 
😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…