Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ukiconnect na watu ni lazima mtongozane?Liko jukwaa la live connect
Ukiconnect na watu ni lazima mtongozane?Liko jukwaa la live connect
sio lengo ila katika jamii , kujamiana kupo bwasheeKwan lengo la JF ni kutongozana.
😅Shangaa na wewe! Kwanini utongoze? Acha mpigwe mkome😆
Apostle nini kilitokea 😁😁😂🤣JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Kaka,sio lengo ila katika jamii , kujamiana kupo bwashee
Love connect ipo kwa ajili gani?Shangaa na wewe! Kwanini utongoze? Acha mpigwe mkome😆
Jamianeni sasasio lengo ila katika jamii , kujamiana kupo bwashee
sio lengo ila katika jamii , kujamiana kupo bwashee
Mpaka wewe mzee navyokuheshimu🤭Love connect ipo kwa ajili gani?
Ndio mwisho wake unakutana na mwaume mwenzio unaanizsha uzi humu!Naelewa. Ila JF sio sehem sahihi sana ya kutafuta mwenza. Unless uwe na nia kweli ya kutafuta mtu.
Na sio ile chapa ilale.
Ukiwa na wazo hili utatongoza sana .
Endelea kuniheshimu hivyo hivyo!! 😅😅Mpaka wewe mzee navyokuheshimu🤭
Huyo ana mwandiko kama wangu😂😂😂
Awe tu , ili mradi awe wakike tu bwashee
Nyinyi wasabato nyinyi😁🫵🏾 Ngoja niishie hapa kwa leo..Endelea kuniheshimu hivyo hivyo!! 😅😅
Ni sehemu sahihi tu , kabda nyie members ndio sio sahihiNaelewa. Ila JF sio sehem sahihi sana ya kutafuta mwenza. Unless uwe na nia kweli ya kutafuta mtu.
Na sio ile chapa ilale.
Ukiwa na wazo hili utatongoza sana .
Kama umefika 35 unaweza kuwa kazi ya maana kwangu,😅 achana na usabato...hilo ni dhehebu tu, au kuna mwamba alikutenda😅Nyinyi wasabato nyinyi😁🫵🏾 Ngoja niishie hapa kwa leo..
kuna UKIMWI pia unafikiri mimi Fala sio?Jamianeni sasa
Yaani ni jukwaa kwa ajili ya mahusuano km ilivyo suasa, elim etcUkiconnect na watu ni lazima mtongozane?