Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Subiri kidogo mwakani tu ntakushtua😂 bora angekuwa mwamba ila mchungaji kutongoza wanafunzi🙆🏽♀️Kama umefika 35 unaweza kuwa kazi ya maana kwangu,😅 achana na usabato...hilo ni dhehebu tu, au kuna mwamba alikutenda😅