Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hapo mimi ntajuaje? Mtu kaja na lengo lake kichwaniKwa nini ukimbiwe?
Hapo mimi ntajuaje? Mtu kaja na lengo lake kichwaniKwa nini ukimbiwe?
Duniani huko, njoo unisalimu vizuri hapaShangazi angu kwan ulikua umeenda wap ?
Natamani kungekuwa na voice note hapa....hahaaSasa kwanini binti sayuni mwenzangu unajiweka mbali na mapenzi😂 utakosa mme shauri yako!
Huyo mkaka anafahamu kama unampenda ulikutana naye wapi mpaka mkafahamiana?nachukua ujuzi🤔
Wapo wengi tuHuko mitaan kwenu mnapoishi hakuna wasichana wa kuhangaika nao mpaka mje huku Kwa watu wasiojulikana
Basi mtajua wenyewe aiseeHapo mimi ntajuaje? Mtu kaja na lengo lake kichwani
Kuna shida gani kwani, jiamini!Kwahiyo ni sifa mzee😅
Wewe pisi kali acha mikwara basi.Hivi inakuaje mtu unapanga mtongozo kwa mtu ambae hata hujui anafananaje? Mambo mengine mnajitakia wenyewe mtakuja mtongoze hadi wazazi wenu.
Aisee! Unanitamanisha nisikilize zaidi hii story😝Natamani kungekuwa na voice note hapa....hahaa
Tulifahamiana km marafiki kwanza...
Mdogo angu unazingua unataka mpk tulipokutana..Hahaaa
Weee kwanza nikaona sitamuweza na sbb nilikuwa nimesha catch feelings nikajua akinila tu kwisha habari yangu nitateseka zaidi ....ushawahi kumkataa mtu huku unamuelewa? Ndo mimi ss
Sio jambo la kujisifu!Kuna shida gani kwani, jiamini!
Kumbe kukutana na marafiki wapya ni jambo baya? Jiamini mkuu!!Sio jambo la kujisifu!
Si jambo baya, ushakutana na member yupi humu bila nia tofauti ndani yako?Kumbe kukutana na marafiki wapya ni jambo baya? Jiamini mkuu!!
Hebu tupe mifano halisi mzee tujifunze ushawahi kujiopolea chuma enzi hizo? Bibi alipokeaje hili jambo🤔Miaka ya zamani ilikuwa tunaalikana kwa chakula cha Mchana ama Jioni ili kuweza kufahamiana kabla ya mtongozo
Unapofanya maamuzi ya kurusha ndoana, inakuwa mlengwa mlishaonana mara kadhaa, yanabaki maamuzi yake akukubalie ama aendelee kuwa single 🤪
Jambo la kukazia kwenu vijana, usihadaike na majina mazuri ya kike kike humu ukadhani mabinti kweli
Babu zenu tuna miaka mingi humu, hivyo tumeoma mengi pia
Hairuhusiwi kutaja watu!!Si jambo baya, ushakutana na member yupi humu bila nia tofauti ndani yako?
Usijali ntaanza leo zoezi la kujiamini rasmi..
Kumbe lakini umekutana na wengi kiasi kwamba bado unahitaji zaidi😅Hairuhusiwi kutaja watu!!
Sheria haziruhusu kutaja watu, iwe mmoja au kumi. Ila kukutana kama marafiki sio issue, baada ya hapo mtaamua kama mna-click au urafiki wa kawaida uendelee.Kumbe lakini umekutana na wengi kiasi kwamba bado unahitaji zaidi😅
Tangu natumia huu mtandao sijawahi kuopoa chombo chochote humuHebu tupe mifano halisi mzee tujifunze ushawahi kujiopolea chuma enzi hizo? Bibi alipokeaje hili jambo🤔
Basi mtajua wenyewe aisee
Sawa mi bado niko kwenye mnaogegedana! Utawamaliza humu?Sheria haziruhusu kutaja watu, iwe mmoja au kumi. Ila kukutana kama marafiki sio issue, baada ya hapo mtaamua kama mna-click au urafiki wa kawaida uendelee.
Hahhaaa babu tumia sasampa! Wala hutosumbuka kumaliza calories..Tangu natumia huu mtandao sijawahi kuopoa chombo chochote humu
Wengi wananigomea kutokana na Uzee wangu, eti wanasema wanaweza kuniua wakati wa kupeana 🙌