makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Na kwanini utongoze?
We tulia uone navyocheza, ntakufurahisha babuš
Ipi sasa mzee..Njoo pande hii!!
Heee nimefanayaje tena shemeji mtu asiwe huru š
Unaonekana mwoga tu, haya maisha hayataki woga!!Ipi sasa mzee..
Sasa nimefanya nini mzee wangušUnaonekana mwoga tu, haya maisha hayataki woga!!
Jitafakari....Sasa nimefanya nini mzee wanguš
Hebu nipe code nianzie hapo..Jitafakari....
Hadi hapo umeshafeli mtu wangu!!Hebu nipe code nianzie hapo..
Nina mashaka sana na ELI COHEN sijui kwanini, uandishi unashabihiana kwa 79%Tongozaneni tu wenyewe kwa wenyewe, mje mtusimulie yatakayojiri!
Red black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazyššNina mashaka sana na ELI COHEN sijui kwanini, uandishi unashabihiana kwa 79%
Hebu mtongoze huyo mkuu tujue kama ni KE kweli š.Red black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazyšš
Iko namnaRed black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazyšš