Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Hahaha........ngoja niandae hiyo Sasampa, jiandae kunipigia cross kama za Chama pale SimbaHahhaaa babu tumia sasampa! Wala hutosumbuka kumaliza calories..
Hahaha........ngoja niandae hiyo Sasampa, jiandae kunipigia cross kama za Chama pale SimbaHahhaaa babu tumia sasampa! Wala hutosumbuka kumaliza calories..
Binafsi sigegedani mkuu!! Na huu uzee ni lishe bora na mapumziko ya kutosha!!Sawa mi bado niko kwenye mnaogegedana! Utawamaliza humu?
We tulia uone navyocheza, ntakufurahisha babu😅Hahaha........ngoja niandae hiyo Sasampa, jiandae kunipigia cross kama za Chama pale Simba
Ulisema mke hatoshi?Binafsi sigegedani mkuu!! Na huu uzee ni lishe bora na mapumziko ya kutosha!!
Kwa sisi 60+ anatosha kabisa, ila kwa 55 kurudi nyuma lazima achanganye kazi!!Ulisema mke hatoshi?
55 ni wazee bwana, basi tu tamaaKwa sisi 60+ anatosha kabisa, ila kwa 55 kurudi nyuma lazima achanganye kazi!!
Jilengeshe uone kazi yao!😅55 ni wazee bwana, basi tu tamaa
Teh.Miaka ya zamani ilikuwa tunaalikana kwa chakula cha Mchana ama Jioni ili kuweza kufahamiana kabla ya mtongozo
Unapofanya maamuzi ya kurusha ndoana, inakuwa mlengwa mlishaonana mara kadhaa, yanabaki maamuzi yake akukubalie ama aendelee kuwa single 🤪
Jambo la kukazia kwenu vijana, usihadaike na majina mazuri ya kike kike humu ukadhani mabinti kweli
Babu zenu tuna miaka mingi humu, hivyo tumeoma mengi pia
Hamna kitu nakwambia😅Jilengeshe uone kazi yao!😅
Tongozeni huko huku achen watu waendelee kujifichaWapo wengi tu
Kwaiyo anaona Bora akimbilie huku loooh 😄😄Wengine wanafanya kazi maporini anakutana naye wapi wa kumchezea?
Ulijaribu?Hamna kitu nakwambia😅
Si ndioKwaiyo anaona Bora akimbilie huku loooh 😄😄
Ndio😂Ulijaribu?
Kutongoza ni aina ya ku update ubongo na akili vikae sawasawa ili visibung'ae.JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Naona umeamua "kunikatisha tamaa"Shadeeya. 🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Hahahaaa. Lol.Naona umeamua "kunikatisha tamaa"
Njoo pande hii!!Ndio😂