JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Kwani JF ni dating site? Hadi muanze kuleta hizo njegeka.
Nyege mshindo zenu, ndo maana mnatapeliwa humu. Na bado si mna uroho sana na nyapuu, mtalizwa hadi mkome.
Na wajanja washajulia upuuzi wenu uko wapi, wanawapiga hapo hapo.

Wapii "kidney" 😂😂😂😂😂😂😂
We unajua mengi inaonekana 😅
 
Aisifiae mvua
Imemnyeshea
Pole sana kijana
This is JF where we dare to talk openly
 
Unakimbia vibaya mno! Waongo hawa umesimama zako na kipendo chako cha njano na blauzi ya kijani mtu kajibanza anakuzoom kwa mbali unashangaa simu haipokelewi🤣🤣🤣

Ata sisi tunaogopa kukutana na vitu vya ajabu🤣
Wanaume ni viumbe wenye ujasiri sana 😁
 
Hapo atanieleza, sababu ya yeye kujifanya wa kike na lengo lake ni lipi , uzuri najimudu💪
😂😂 Kwani mpaka akakubali mtongozo unadhani lengo lake ni lipi? Wanaume mna ujasiri sana aisee
 
Kwani JF ni dating site? Hadi muanze kuleta hizo njegeka.
Nyege mshindo zenu, ndo maana mnatapeliwa humu. Na bado si mna uroho sana na nyapuu, mtalizwa hadi mkome.
Na wajanja washajulia upuuzi wenu uko wapi, wanawapiga hapo hapo.

Wapii "kidney" 😂😂😂😂😂😂😂
Ina segment ya dating, wanaotongozana wapo right kabisa!!
 
Mtu unaelewana na mtu umu vizuri TU..unajua unakutana na pisi..unashangaa pisi inaambatana na kuambiwa upo chini ya ulinzi
 
Back
Top Bottom