Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 15,007
- 35,496
Wanaume mmezidi aiseeWanawake ndio majasiri aisee 🤣🤣🤣
Unakuta yupo requested bila hata kuangalia nini kitamkuta akienda huko
Wanaume mmezidi aiseeWanawake ndio majasiri aisee 🤣🤣🤣
Unakuta yupo requested bila hata kuangalia nini kitamkuta akienda huko
Wee unanitaka tu maneno toka apa 😁😁😁Mhmm sasa anatest vipi zali kwangu wakati kaona kabisa interest yangu ipo kwa wanawake?
Ninakutaka ila sio maneno😄😄😄Wee unanitaka tu maneno toka apa 😁😁😁
😂😂 Ushalewa ukalale sasa.Ninakutaka ila sio maneno😄😄😄
Mhmm siku hizi sinywi tena , ila basi yaishe🥲🥲😂😂 Ushalewa ukalale sasa.
Mbona maneno mengi, wewe siyo muuzaji 🤣🤣🤣Shida ipo kwenye kuniita cha wote, eti watu kibao wameshaonja NDIZI yangu, yaani unajitengezea mazingira unipate kwa bei ya jioooooni.. aah, dada biashara haiendi hivyo.. ongea biashara bila kushusha thamani yangu.. toa pesa nzuri unifaidi bibie
Atoto mwenzio anajitengenezea mazingira anipate kwa bei rahisi.
Kuwa makini, utauza dhahabu kwa bei ya chuma chakavu
Toka apa kaongo weeMhmm siku hizi sinywi tena , ila basi yaishe🥲🥲
😃 basi poa tu , nitafanyaje sasa mimi🥲Toka apa kaongo wee
Malizia kinywaji ukalale 😁😃 basi poa tu , nigafanyaje sasa mimi🥲
We mjanja mjanja sana, unataka upate dhahabu kwa bei ya copper 😂🤣Mbona maneno mengi, wewe siyo muuzaji 🤣🤣🤣
Biashara maongezi, tuache tusemezane halafu tutakuita.
Hili limeniuma sana 🥲Malizia kinywaji ukalale 😁
😂 🏃🏃Hili limeniuma sana 🥲
😒😒😂 🏃🏃
Tulia wewe, umekomaa hadi una magamba.Nani kasema maneno hayo.. aweke ushahidi kama kawahi kunionja hapa...
Atoto mie mtulivu mnooo, UVULANA wangu bado haujachezewa.. mali mbichi kabisa hii, ndizi imeivia kwenye mgomba wake, nichume uanze kunifaidi.
Nina msg nyingi dm za jamaa wakinitongoza,yaani kisa ni avatar yanguTongozaneni tu wenyewe kwa wenyewe, mje mtusimulie yatakayojiri!
Wewe tulia bwana asije ghairi. Binti wa zamani njoo tumalize biashara.Shida ipo kwenye kuniita cha wote, eti watu kibao wameshaonja NDIZI yangu, yaani unajitengezea mazingira unipate kwa bei ya jioooooni.. aah, dada biashara haiendi hivyo.. ongea biashara bila kushusha thamani yangu.. toa pesa nzuri unifaidi bibie
Atoto mwenzio anajitengenezea mazingira anipate kwa bei rahisi.
Kuwa makini, utauza dhahabu kwa bei ya chuma chakavu
Akutukanae hakuchagulii tusi.. akufukuzae hakwambii toka, ushanitumia wee, umefaidi ujana wangu weee, leo unaniambia maneno hayaTulia wewe, umekomaa hadi una magamba.
Sawa, nasubiri biashara yenu ifanyike..Wewe tulia bwana asije ghairi. Binti wa zamani njoo tumalize biashara.
Wewe si umesema hujatumika bado mbichiiii🤣Akutukanae hakuchagulii tusi.. akufukuzae hakwambii toka, ushanitumia wee, umefaidi ujana wangu weee, leo unaniambia maneno haya
Ahsante atoto.