JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzakošŸ¤”

JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzakošŸ¤”

JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Joined 2023 hata hujakomaa unaanza kuparamia ID Jf ni zaidi ya uijuavyo.
 
Niliwahi kumla dada wa member mmoja jukwaani kimasihala kwa mambo ya kutengeneza ID za kike humu.

Ni stori ndefu kama miaka 5 imepita, baada ya kuchat kwa takribani wiki kadhaa DM nikamwambia nataka nimtumie pesa kidogo ya saloon. Naona akaona anipe namba ya dada yake ili jina lisome la kike.

Nafikiri baadaye alijutia.
 
šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Eti wewe ni cha wote😭😭😭
Nimelia sana.
Nani kasema maneno hayo.. aweke ushahidi kama kawahi kunionja hapa...
Atoto mie mtulivu mnooo, UVULANA wangu bado haujachezewa.. mali mbichi kabisa hii, ndizi imeivia kwenye mgomba wake, nichume uanze kunifaidi.
 
Mbona taharuki, tulia šŸ˜‚šŸ¤£ Atoto kasema wewe mali yake ila nikifika dau ananiachia kwa muda šŸ˜… ndiyo tunayajenga hapa!
Shida ipo kwenye kuniita cha wote, eti watu kibao wameshaonja NDIZI yangu, yaani unajitengezea mazingira unipate kwa bei ya jioooooni.. aah, dada biashara haiendi hivyo.. ongea biashara bila kushusha thamani yangu.. toa pesa nzuri unifaidi bibie
Atoto mwenzio anajitengenezea mazingira anipate kwa bei rahisi.
Kuwa makini, utauza dhahabu kwa bei ya chuma chakavu
 
Back
Top Bottom