JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

BrainOs

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
173
Reaction score
292
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
 
Hongera na Karibu sana JF.
 
Kwa kweli kimeumana, hata Mimi nimezuiliwa , Leo hii. Imenilazimu kufungua akaunti.
 
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
So What......?
 
Nyinyi ndio wale msiojulikana , Sasa Maxence Melo kawanasa 🤣🤣🤣🤣
 
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Karibu kijana mwenzetu 😊 karibu sanaa
Utaendelea kupanda vyeo kidogo kidogo..
Mwisho utakuja kua Jf expert member jidahid kujadili mambo mbali mbali

Once again karibu sanaa jukwaani utashirikiana kujadili kushaur na kusoma mambo mbali mbali kwa KADRI UWEZAVYO

Your most welcomed.
 
Back
Top Bottom