Hongera na Karibu sana JF.Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Kwa kweli kimeumana, hata Mimi nimezuiliwa , Leo hii. Imenilazimu kufungua akaunti.Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Mkuu hivi kwanini ukiupload picha kwenye post. Jf inaambatanisha na jina lilokuwa saved kwenye device husika?Hongera na Karibu sana JF.
Kwani Instagram huwa wanaenda as guest?Wanatafuta watu wapya kwa nguvu
So What......?Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Nyinyi ndio wale msiojulikana , Sasa Maxence Melo kawanasa 🤣🤣🤣🤣Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Karibu kijana mwenzetu 😊 karibu sanaaBhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest