JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa


Bro tulia kuachwa kawaida [emoji23][emoji23] mama tamuu si yupo lakini?! [mention]cocastic [/mention] uduguu bwana shemeji mbona anataka kumpea stress bi harusi wetu
 
Hongera Sana kwa kumpata mume anayemjua Mungu.hakika ukatulie TU.maana ukipata mume anayemjua Mungu uko kwenye mikono salama.
Nani natamani nimpate Mwenye hofu ya MUNGU.
KILA LA KHERI
 
Basi nimeamini mapenzi ni upumbav kama had mwanetu mgweno aliekua anafanya wanaume wote tuonekane wachumba nae kala mninga wa mbavu. Dah pole mgweno kwa kupigwa chenga ya mwili
 
kwa avatar yako ulioweka ya matako au makalio, am sorry kwa huyo anaekwenda ati kukuita mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…