Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinisahau ktk kamati
Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.Demu chenga huyu anawenge kilo 100 hata kupika hajui 😂😂😂 Clepatina hahahaaa... nasema huyo mlokole wa watu atakufa mapema sana, Bado unavingi vya kujifunza tukutane... Mbeleni nipo na wewe sambamba 🤣🤣🤣
Unataka kuoa mkuu niandae kijora😁Mi natangaza baadae😜😂😂
Hahahaa...Mama tamuuu amenikataa pia🤣🤣🤣 yani mimi sina bahati kabisa, Nimekua na mkosi sana kila ninapotest zali mambo yana buma dah!😂😂😂Bro tulia kuachwa kawaida [emoji23][emoji23] mama tamuu si yupo lakini?! [mention]cocastic [/mention] uduguu bwana shemeji mbona anataka kumpea stress bi harusi wetu
Ni swala la muda tupo pale. Walisikika walevi wawili USM ALGER S V Surovikin
Ni wivu tuWewe hakuna ndoa ya miezi miwili acha kujistress bwana...Kama unampenda sana we chill tu Kabla ya November atakuja hapa na script
Madam umeokoka? Siyo vita vyote lazima upigane. Kuna comments hulazimiki kujibu. Puuzia.Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.
Sawa bora mim chenga kuliko wewe unagandana na gays na mademu kila saa halafu hujishtukii.
Usiniombee mabaya sijakukosea kitu bro🙏
Usisahau mimi nitakuwa msaidizi wako cute wife....na naamin baada ya kamati tutawasndkza Hadi chumban
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nafunga ndoa na jungu la ugali😜😂Unataka kuoa mkuu niandae kijora😁
Pole naona hayo maneno yamekugusa sana!Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.
Sawa bora mim chenga kuliko wewe unagandana na gays na mademu kila saa halafu hujishtukii.
Usiniombee mabaya sijakukosea kitu bro🙏