Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo Nzega tayari mkuu. Tutamaliza baada ya siku 3 zijazo.Tabora lini
Asante sana na hongera sana kwa effort hii!Tupo Nzega tayari mkuu. Tutamaliza baada ya siku 3 zijazo.
Tunafanya upembuzi kwanza kubaini kama wananchi wanatambua majukumu ya Mbunge na kama wanakumbuka ahadi zake. Aidha, tunafuatilia kama wanafahamu wajibu wa Halmashauri kwao na wajibu wa madiwani kwao.
Tuna mengi tumeona na tumewahamasisha wananchi katika kuyapata maendeleo katika maeneo yao. Bahati wananchi wanatuelewa na viongozi wao wanauona mwitikio wa wananchi katika maeneo tunamopita
Mbona diwani wa kijiji cha katerero simuoni?
Kama hamtafungua "ukumbi wa mkutano" kwa kila mbunge kukutana na kujadiliana na wapiga kura wake humu ndani ya JF ubunifu wenu hautakuwa na maana yoyote.Tupo Nzega tayari mkuu. Tutamaliza baada ya siku 3 zijazo.
Tunafanya upembuzi kwanza kubaini kama wananchi wanatambua majukumu ya Mbunge na kama wanakumbuka ahadi zake. Aidha, tunafuatilia kama wanafahamu wajibu wa Halmashauri kwao na wajibu wa madiwani kwao.
Tuna mengi tumeona na tumewahamasisha wananchi katika kuyapata maendeleo katika maeneo yao. Bahati wananchi wanatuelewa na viongozi wao wanauona mwitikio wa wananchi katika maeneo tunamopita
Mkuu kama nakaribia kukuelewa: "Tuepuke kwa kadri itakavyowezekana Kujihusisha moja kwa moja kama JamiiForums kufanya mambo ya Siasa... Tuwaache wanajamvi WATUMIE JAMIIFORUMS kufanya siasa". Jamiiforums kama Taasisi iwe ni forum ya sisi kupiga siasa yenyewe isijiegemeze kwenye siasa. Neutrality ni muhimu sana kwa JFKama hamtafungua "ukumbi wa mkutano" kwa kila mbunge kukutana na kujadiliana na wapiga kura wake humu ndani ya JF ubunifu wenu hautakuwa na maana yoyote.
Mwisho wa siku fanyeni hivi:-
Hizo ac za wabunge ziwe ndani ya kitufe cha siasa, zikumbatiwe na kitufe "kutana na mbunge wako"
Ndani ya ukumbi wa mkutano na mbunge wangu properties zi contain yafuatayo:-
Reply zote za mbunge zijiupdate auto kwenye fist page kwa mtiririko kufuata muda wa post, quotes n.k
Kutakuwa na wapigakura waliojitambulisha ambao watakuwa na haki ya kujadiliana na mbunge,
Wageni wanye utambulisho pia watakuwa na privelage ya kujadiliana na mbunge.
Tutapata nafasi ya kukumbushana mambo mengi ya kimaendeleo, tutapokea taarifa sahihi kutoka kwa mbunge juu ya ushiriki wake katika kuisimamia serikali kama yalivyo malengo ya ubunge.
TUEPUKE KWA KADRI ITAKAVYOWEZEKANA KUJIHUSISHA MOJA KWA MOJA KAMA JAMIIFORUMS KUFANYA MAMBO YA SIASA.
Tuwaache wanajamvi waitumie jamiiforums kufanya siasa.