TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

Hongereni sana. Kweli jamii media imejikita kwenye masuala ya kijamii. Hii move itamuwajibisha mbunge kwa jamii yake, mwisho wa siku jamii inanufaika kwa kutopunjwa Na wanasiasa.

Najivunia kuwa sehemu ya familia hii
 
Great thinkers! The new Gov should have thought of this instead of bulldozing everyone without debates. People are not animals.
Scientifically speaking, people are animals... There some point we need not, debates but actions!
 
Alifafanua kuwa mradi huu utachukua miezi 9 na hivyo Wabunge wanaohusika kwenye mradi huu wanatakiwa kukubaliana na wananchi juu ya ahadi zisizozidi 4 za kuweza kuwa sehemu ya mradi huu zinazoweza kutekelezeka kwa kiwango kikubwa wakati wa mradi huo.

Big up JF

Ila jamani mtanisamehe mi akili yangu ngumu kigodo kuelewa...

Sijaelewa vizuri mradi utacheza nafasi gani kuwezesha suala fulani la maendeleo kufanyika

Kwa mfano, tuseme kwenye jimbo X, ahadi mojawapo ni upatikanaji wa maji safi na salama kwa 75% ya wananchi kufikia 2020. Materials katika kufanikiwa kwa ahadi hiyo ni project plan na pesa. Pia wananchi wanaweza kusaidia nguvu kazi nk.

Sasa naomba kwa ufupi mnifafanunulie mradi wa tushirikiane utafanya mambo moja, mbili, tatu... nk ili wananchi waweze kupata hayo maji.
 
Safi sana. Msisahau kuja na kwetu Songea
ni maajabu ccm kupongeza mambo ya maendeleo, inaweza kuwa pongezi ya kinafiki, wenzetu nyie mnawaza matumbo yenu na kugangania madaraka hata kama hamuwezi kudeliver
 
Jamiiforums inapozidi kupiga hatua.

Hongera sana.
 
Kazi nzuri JamiiForums.
Asanteni kwa kuwezesha ukaribu baina ya wapiga kura na viongozi wao.
Hii itasaidia kutekelezwa kwa ahadi zilizotolewa na viongozi majimboni kwa kiasi kikubwa.

Kwa kawaida tumezoea kuwaona viongozi majimboni nyakati za uchaguzi mkuu unapokaribia,baada ya hapo wanapotea.

Siwezi kusubiri mtakapotembelea jimbo langu.
#Tushirikishane
Kila la kheri [emoji122][emoji122].
 
Mnastahili pongezi kwa wazo hai!
Tuko pamoja na mjitahidi kuepuka na mitego ya bilisi "siasa" maana nyota unafiki inatawala sana kipindi hiki.....
 
Back
Top Bottom