Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe inawezekana... nadhani mmetimiza jambo moja katika ushauri wa Rais.. wabunge na waliochaguliwa wajadiliane nawapiga kura wao jinsi ya kuleta maendeleo katika eneo lao. Hongereni JFHongera Max na JF.
Big up JF
Ila jamani mtanisamehe mi akili yangu ngumu kigodo kuelewa...
Sijaelewa vizuri mradi utacheza nafasi gani kuwezesha suala fulani la maendeleo kufanyika
Kwa mfano, tuseme kwenye jimbo X, ahadi mojawapo ni upatikanaji wa maji safi na salama kwa 75% ya wananchi kufikia 2020. Materials katika kufanikiwa kwa ahadi hiyo ni project plan na pesa. Pia wananchi wanaweza kusaidia nguvu kazi nk.
Sasa naomba kwa ufupi mnifafanunulie mradi wa tushirikiane utafanya mambo moja, mbili, tatu... nk ili wananchi waweze kupata hayo maji.
Hahaha, mkuu wanaokimbilia hisa 51 ujue wanataka kufanya maamuzi. Usije ukatupindulia jukwaa letu na kina Max wakakosa sautiMelo and co niuzieni JF hisa 51 natoa offer ya $750,000.
The issue is ni mwananchi wa aina gani anaeipata hyo taarifa, na kikubwa ni uwaz wa taarifa husika. Kuna mpango jamaa watakuja nao nadhan utawork out.Mfumo uliopo wa mawasiliano nchini unawawezesha wananchi kupata taarifa zozote zinazowahusu. Sidhani kama kuna kipya kitatolewa na huo mradi.